Back Babu Bibi
Nyimbo (Lyrics): Babu Bibi
Msanii: Bwana Kiki (Mzee Kiki)
Albamu (Album): Servants Quarter
english translation
Babu Bibi

Pitisha Mawazo

Money, Money

Choir Wapi wazee mira zenu zote silazima pesa

Ngoma tunapenda

Nini haitahusika na mambo ya pesa

Nani atatufurahisha bila kututoza pesa

Wapi tutaweza kwenda bila kulipa pesa

Ona Ulimwengu wote imeshanunuliwa na pesa

Wazee tulinda mira isijekugeuka pesa

Tubakiwe na mambo ya burudani si lazima pesa

Tufurahia wacheza ngoma Uwanjani bila pesa

Jaribu mapenzi bila pesa pesa

Uliwahi kuogelea baharini bure?

Sasa hivi unapumua…….. fresh

Mifano mengi menyewe unajua, sina pesa

Hakuna

Hakuna senti hata moja

kama ni kweli hutasema

Geld, Geld

Babu Bibi bila pesa sitaweza, mimi sina

Ulimwenguni hutapata kitu tena bila pesa

Maji tunanunua dukani, Geld Geld

Baharini kuna kiingilio

We, Wewe………, Njoo hapa, Leta pesa, leta pesa

Hewa safi

Choir Hewa safi kwa bei nafu

Back