Back Pombe
Pombe mwanzo wake wa heshima Mwisho huwa makelele mengi
Ndivyio ilvyio kuwa kwako mvulana ulivyio nipenda mimi kwa heshima.

Sasa imekuwa makelele kila siku nimechoka kulilia

Yeyeyeye Akida Yeyeyeye Akida Kaka

Wenzio wengi tumeachana nao sababu hiyo hiyo

Sijali Uzuri Ubaya tucheza leo dansi

Akida eeh Kaka eeh

Back