| Back | Usinisogelee |
| Usinisogelee mimi
siwezi kuzikinga ngumi za mwanamume wa kwako.
Mwanamume wa kwako hana utani juma. Mwanamume wa kwako mtu wa mazoezi. Uiyavuta magari kwa kutumia kamba zake. Uzivuta Suzuki kwa kutumia kamba zake. Masunduka ya bea kwa kutumia nyewele zake. Kuvunja mawe kifuani kwa mavyuama |
|
| Usiniguse nitakuwa kikombe cha kahawe na kashata kwake | |
![]() |
Juma mimi huyu
namfahamu Kipigo chake ni cha utakatifu. Utakatisha watu wakafurahiee
Halahala Usinisogelee Juma huyu Juma Yeye. Juma huyu anakuja. Atanivunja meno yanguwe, atanivunja mbavu zangu atanivunja shingo yangu |
| Back |