Shime Waafrika tuungane pamoja
Tulinde inchi zetu, za Afrika
Uhuru wetu sisi haujakamarika
Mwaka woto, Vibaraka, Makaburu Afrika Timechoka kuonewa
Lazima tuwango'e