Back Jose
 

Nauliza walimwengu mimi Jose nimekosa nini kwa mungu

Tangu kuzaliwa kwangu matatizo na hofu upande wangu

Ni mkosi gani inayozonga

 

Tangu mimi kuzaliwa paka hivi sasa vita Babu kauwawa na Mama kauwawa

Sababu ya Vita

Tangu mimi kuzaliwa paka hivi sasa hivi vita Kote ukame hakuna chakula

Sababu ya vita

Amani, tuache vita

  Back