Back Msafiri
 

Msafiri Kakirhi, Wahenga walisema

Sifikiri hatari itakayonifika

Bado safari yangu kufika

Sijui mimi nitafika

  Hodi Hodi

Bwana naomba maji maana kunakukwenda mbali, nakutoka mbali nakukwenda mbali

Ahsante

  Back